This website uses cookies
This website uses cookies. For further information on how we use cookies you can read our Privacy and Cookie notice
This website uses cookies. For further information on how we use cookies you can read our Privacy and Cookie notice
In stock
Free return within 7 days for eligible items.Details
PPE Shop
100%Seller Score
10 Followers
Customer Rating: Excellent
Magwiji wa Kiswahili Miigo ya KCPE ni kitabu muhimu cha marudio kilichotungwa kukusaidia kufaulu kwa kiwango cha juu katika mtihani wa Kiswahili wa KCPE. Kikiwa kimeandikwa na walimu na watahini wenye tajriba pevu, kitabu hiki kina miigo 20 ya mtihani wa KCPE inayoiga kwa ukaribu mtindo wa utahini na mfumo wa uteuzi wa maswali. Pia, kinatoa vidokezo muhimu vya namna ya kufaulu, maagizo ya Baraza la Mitihani la Kenya, na majibu kwa maswali yote. Kimeandikwa kwa mtindo sahili na unaovutia, na ni msururu mpya uliotungwa kispesheli kukufanya wewe kuwa gwiji.
This product has no ratings yet.
/product/12/9744952/1.jpg?3330)